[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini ulikunywa chai kwa mtekwaji?
Mbaya zaidi na kalimati za kihindi?
Inauma sana aisee.
Kama nani mkuuKuna watu walikuja Kula papuchi Tu duniani au muda wate ni papuchi mkuu kwaresmaa hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu hakika mpaka sasa moyo uko kunako ICU unadunda 150purs per minutes.Hahahahahahahahaaa
Nnavopenda story maelezo .... Sio ubuyu au umbea.....
Nasubiria part two ya kunusurika.
Hongera kuruka kiunzi.
Wenyewe wanasemaga life is game, play it well. Wachezaji wa games wanaelewa kuna stage unakutana na nusura ufeli au ushindwe ila ukiwa makini unavuka Hiyo stage na kuendelea na game.
K' Matata.
Zero IQ.Asante sana muhudumu wa gest uliyekuja kunitonya chap na kunipitisha mlango wa ziada la sivyo leo Zero ningekuwa General hospital dodoma nawekewa plasta na drip,
Wakuu nimenusulika kufumaniwa leo na mke wa mtu hakika akili haijakaa sawa bado nikitulia na kushusha hii pressure nitakuja na mkasa wote,
Ps,
Ata ivyo jamaa alichelewa sana wakati anakuja na watu tayari mke wake nimeshamla vya kutosha nilivyotonywa tu zero huyo sikukumbuka ata kuvaa Raba ni mimi na ndala za gest tu
Note:
Kifumaniwa usikie tu kwa mtu.
CC Zero IQ