Nimenunua Techno N3

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Waugwana niliomba msaada hapa wakati nilipohitaji kununua Huawei ya Tigo na nashukuru kwa maoni yenu.
Nimenunua Techno N3 kwa sababu mbili kubwa,uwezo wa kubeba laini mbili na comments zilizotolewa hapa in the past katika kuisifu mashine hii.
Nkabiliwa na shida kubwa ya kuhamisha contacts kutoka SIm card na kuingiza katika simu yangu mpya otherwise kwa sasa sina shida ya kuwasha laptop alfajiri kwani nacheck mail na news hapo kwa hapo.
 
Hongera sana. Tupe habari za bei yake na umeipata wapi (duka)?
 
Hongera sana. Tupe habari za bei yake na umeipata wapi (duka)?
Nimenunua msimbazi opposite na Simba sports club na duka lina alama kubwa ya TECHNO kwa 170000/-
Mpaka sasa nimefuarahia internet yake ila kuna baadhi ya functions sijaziona na ndo maana nikaomba msaada wenu.
 
samahan mkubwa naomba kama inawezekana niPM contacts za hapo uliponunua simu kuna mtu mgeni kidogo nataka nimwagizie kwani si wengine tupo mkoani please help me ninaihitaji sana iyo simu
 
Nisaidie nami nipate wapi hiyo tecno n3 naona ni nzuri sana pls kwani mm nina techno hd31 kwani hiyo nayo inauwezo huo wa kuchek mails, news au pls msaada best
 
mimi nnayo betri ndo tatizo nachaji mara 2 kwa siku
 
Nilinunua wiki tatu zilizopita 160,000/- lakini nimeondoa clock na nimeshindwa kuirudisha.
 
Nilinunua wiki tatu zilizopita 160,000/- lakini nimeondoa clock na nimeshindwa kuirudisha.
 
Nilinunua wiki tatu zilizopita 160,000/- lakini nimeondoa clock na nimeshindwa kuirudisha.

unaunlock screen, unangia kwenye touch button ya kushoto kwako mwisho kabisa,touch itakuletea add,manage applications,wallpaper etc. chagua hiyo "add'' itakuletea alama ya mshale ulioelekeke kulia,achana nao gusa alama iliyo kama gurudumu la gia(widgets) bas clock yako utaipata hapo,ukiitach itarud kwe display yako.
 
Ni kasimu kadogo na bei ndogo lakini kana Kila Kitu utakachohitaji katika smartphone,haya ma Nokia nimeweka pembenii kwa sasa.
 
Ni kasimu kadogo na bei ndogo lakini kana Kila Kitu utakachohitaji katika smartphone,haya ma Nokia nimeweka pembenii kwa sasa.

eeh.. Na mimi naitaman sana hi kitu lakini baada ya kama wiki ivi nitakua tayari nimeshaipata ...
 
Mkuu sioni kitufe cha "like" ningekugongea.
 
weka line kwenye simu ya zaman copy majina kwenye line toa line weka kwenye simu mpya nenda contact movecodact from simcard to phone memory halafu toa cad rudisha kwenye simu ya mwanzo copy tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…