njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,723
Ila nahisi kabisa kabisa vitapigwa marufuku cha kufanya ni kununua mapema na kupiga kimnya kabla hawajastuka wenye Nchi yaoKama ulikuwepo hata mm nimeuziwa baa
Ila nahisi kabisa kabisa vitapigwa marufuku cha kufanya ni kununua mapema na kupiga kimnya kabla hawajastuka wenye Nchi yaoKama ulikuwepo hata mm nimeuziwa baa
Mbona hii kitu nilikua nayo kitambo sana nikaitelekeza. Na by the way zipo sana mtaani kwa wamachinga.... wengi hawana elimu nayo.1.Umekinunua wapi?
2.Umenunua bei gani?
3.Vipi inakibegi chake cha kuhifadhia na kuweza kukining'iniza kiunoni au waliokuuzia wamekupa maelekezo yapi?
4.Kina charge voltage kiasi gani na unakichaji masaa mangapi,pia kinakaa na charge mda gani?
#saidia kujibu haya maswali🤝
Kwa swali lako wewe miliki tu, unaruhusiwa au huruhusiwi itafahamika mbele ya safari, vitu vipya kama hivyo huwa sheria inafata baada ya kuwazimisha wakuda kadhaa😂😂😂
Fuse zinakata *****sasa wanauza mpaka baa umekaa zako unagonga ulanzi wajomba haoo na mabegi begi yao ,
Nb watekaji kazi mnayo huo mzigo ukichomekwa vizuri wa mbavu unakunya
Wengine watata kwenye malipo, wengine majambazi, ukiwatia moja tu, wanatulia 😂👊🏾Unataka uwatize wateja na kuwaibia sio?😂😂