Nimenogewa na mapenzi ya baba 100%

Huyo ni baba yake wa kambo au baba yake mzazi kama baba yake mzazi hii ni laana kubwa sana
 
Ukija kuchunguza vizuri utakuta huyo binti sio mtoto wa huyo baba..
 
Mmmh, that's abomination Mgirik. Unaanzaje kumtamani binti yako!!!
Binadamu wamekuwa wanyama, tena afadhali ya mnyama utasema hana akili..

Ni matukio mengi kwa sasa tunayaskia kwenye media ya namna hii mtani.
Ila huenda na ushirikina unachangia, mtu anaambiwa ili apate mali sharti ahusiane na bintiye kimapenzi.

Ndipo dunia ilipofikia..
 
Badili heading iwe Anogewa na penzi la baba yake....
 
Acha tu lakn kiukweli kuna sababu ambazo zinapelekea watu kufanya hayo..
. ushirikina
. kuwa mtoto Wa kambo..
Katika hali ya kawaida huwezi kushirikiana kimapenzi na mtoto wako Wa kumzaa au hata ndg yako Wa damu
 
Kesi za chumbani aisee sidhani kama zinatuhusu sisi hahaha,is to she watoto wa siku hizi walivyo mpaka unaona aibu kumuita binti yako!
 
Vitendo vya akina baba kuwakula watoto zao vimeshika kasi sana kwa sasa.Hatuskii wamam wakikazwa na watoto zao,ila why wababa wanawakaza watoto zao?
Eeh...umetumia neno la kizamani kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…