Ujana maji ya moto... Mwambie kama yupo tayari muwe sex partiners awe na boy wake na wewe girl wako na kama ukileta girl wako hapo anatakiwa awe mdogo na asimind ... Hiyo inawezekana na itakuwa nzuri sana... Ila usisahah kutumia condom na kujitahidi kuacha uzinzi..
Mhhhh...i never wish u cross ths...
Ushindwe na ulegee..ila usianguke....
Si umepanga? Hama nyumba,au kodi anakulipia yeye?
Mie simuelewi mwanaume anayedai yuko kwenye mahusiano asiyoyataka,kweli huwezi kumuacha bint usiyemtaka!!
Nikilegea utanikaza? Ulegee wewe na viungo vyako from today...naam vikakose nguvu kabisa...hata pale utakapotaka kugegeda vikakuaibishe..maana hata wewe wajua kuwa michepuko sio dili...ni ktk jina la njia kuu naomba na kushukuru...Amen
Tehe....utakua una undugu na mzee wa hummer ee...aaamen