Mami vp kumbe upo around?
Nahisi mshikaji alikuta binti ana pete mkononi akajua tayari hana chake hakuuliza mpango umekaaje.
Unawezakuta mhusika yupo Dallas Texas huko mwaka wa 8 kamuacha binti na pete huku TZ lol
Umesema kweli, ila ninae tayali japo ananisumbua....
Mkuu na wewe unamjua Lisa??
Na mimi itabidi nipate hizo dakika arobaini basi
ili nione kinachosifiwa..
au mimi nna gundu?sipewi dakika arobaini?
Hapana mkuu mi simjui Lisa wala mtu yeyote hapa JF.
Kuna wachezaji hata goli likiwa wazi hawafungi
wanapiga nje na kushangaa wengine wanafungaje lol

Kwa hiyo The Boss huwa unabaki kushangaa wenzio wanafunga magoli kiulainiiiiiiiiiiiii!!!!! Pole sana . waulize wnawezaje? wewe ushindwe?
Mhh, sijui ila angenieleza...
Ila unatamani kunijua baada ya Wiyelele kunisifia Au????
Mamdogo vp mbona kama umepania hivi? kuna nini?
::
Yameisha.
=