Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Huna hela, ubavu wa kumpeleka slayqueen sehemu wanayotengeneza lamb chops unaupata wp? Si muende shishi food pale mkale biriani na mango kubwa yaisheHawa mabinti tutawala sana jicho Kwa tamaa zao, kwani KVANT na KONYAGI Zina shida gani? Hizi whiskey kama Hennessey na jackdaniel sio kwamba ni bora sana kuliko spriti ila ni ngharama Kwa sababu za transportation, kinywaji kinapanda ndege kutoka Pennsylvania mpaka dar Es salaam sio kitoto ila ubora ni uleule tu
Tulipofika swala la chakula mimi nikaagiza Wali maharage ila yeye akaodder kabisa Kwa special cook ili atengenezewe lamb chops gharama yake ni kubwa ila yeye hajali, mbaya zaidi Kala vijiko vitatu tu kashindwa na jackdaniel ameweka kwenye mkoba ili aweke kwenye friji lake nyumbani kama showwloff Kwa marafiki zake, wapuuz nyie punguzeni Tamaa View attachment 2529669View attachment 2529670
Lofa kweli wewe, ungejua per day na spend zaidi laki Tatu ungefuta huu ujingaHuna hela, ubavu wa kumpeleka slayqueen sehemu wanayotengeneza lamb chops unaupata wp? Si muende shishi food pale mkale biriani na mango kubwa yaishe
Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktailumeshatoka kahama?au umesharudi songea
Tafuta pesaOshey mr [emoji383]
Mpuuzi ni wewe, unaweza kuta unamuita lofa basha wako hapa nnae kupigisha hizo route na kukupa hio laki tatu ya kuspend. Fala kabisa wewe hujui hata kuchamba hicho kitega uchumi chakoLofa kweli wewe, ungejua per day na spend zaidi laki Tatu ungefuta huu ujinga
Kwa lugha ulotumia unaonekana huna ustarabu ngoja nikuacheMpuuzi ni wewe, unaweza kuta unamuita lofa basha wako hapa nnae kupigisha hizo route na kukupa hio laki tatu ya kuspend. Fala kabisa wewe hujui hata kuchamba hicho kitega uchumi chako
Hiyo JD iko wapi?Nipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
Yanini?Hiyo JD iko wapi?
Weka picha yake tuoneYanini?
mkuu hizo picha unazidownload au!! juzi ulikua songea jana ulikua kahama leo upo jijini,unachoma tu nauli,tupeane connection bwana mpyayunguNipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
We ndo huna ustaarabu kwanza umeanza kunitusi ww na sasa unataka huruma,Kwa lugha ulotumia unaonekana huna ustarabu ngoja nikuache
Mwenye simu ya tecno aweke hii picha google search photos.. zitakuja nyenzakeNipo dar Es salaam maeneo ya seacliff hotel napata cocktail View attachment 2529678
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka eti oda za mchele🤣🤣Mwenye simu ya tecno aweke hii picha google search photos.. zitakuja nyenzake
Mpwayu yuko zake Kahama huko anakusanya oda za mchele