Nimemuona batilda burian

Alihudhuria ili JK amuone na amuonee huruma kama ataweza hata kumpatia japo kanafasi fulani kwenye serikali yake.
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

Hongera sana JF founders kwa kuwa sasa hapa Jamvini kumekuwa na members wengi na threads zimekuwa nyingi zaidi kiasi kwamba ili upate Topic inayojadirika inabidi ufungue si chini ya threads kumi.
 
That maam ni mtupu sana....it should be posho...hak ya nani vile.....
Unamfahamu Hawa Ghasia lakini? Mama ana Masters kwenye Economics!
Au nyie msomi mpaka awe na JCD Cannon Law!
 
nilisikia JK alitaka kumpa ukurugenzi mkuu wa TANAPA, watu wakamshauri ni kuchemka kwa wazi kabisa.
 

She will be back kama mkuu wa mkoa wa Mwanza/Dar es Salaam, uteuzi utafanyika mwezi ujao stay tuned....
 
Wadau ktk taarifa ya habari ya ITV ya usiku huu nimemuona Batilda Buriani akiwa pemben mwa Hawa Gasia katika mkutano wa uwekezaji,najiuliza kahudhuria kama nini?

Mwekezaji
 
Aibu kwa watu wazima kupiga umbea.
thread kama hizi ndio zinaiharibia sifa JF.
 
akipewa udg tanapa atakuwa juu apewe jamani alipita wkt mgumu sana .khah msinishambulie natumia uhuru wangu wa kujieleza teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…