Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeees there you areMR.pilot?who s that?its vasco da gama?
Leo nimeanza kibarua kwenye hii kampuni, ofisi nitakayokuwa naitumia nimekuta kuna picha tatu ukutani, ya Mwalimu, Ben na ya Mr. Pilot. Nimemuambia huyu Secretary nikitoka lunch nikute amekwishaondoa picha ya Ben, zibaki hizo mbili, Kwa heshima ya ofisi yake kwa Taifa letu hii ya Mr.Pilot nitaendelea kutafuta busara namna ya kudeal nayo.
Mkwara mbuzi huo...acha utoto
Hizo picha hazihusiani na kazi...piga mzigo n make a difference...
Bakiza moja tu ya mwalimu, mm dukani kwangu nimeweka ya mwalimu, akija mteja kabla sijamtajia bei ya bidhaa kwanza naiangalia picha ya mwalimu inanikumbushia kipindi kile cha foleni kununua kipande cha sabuni. hii picha inanipa ujasiri wakukutajia bei kubwa.
Usigeuke nyuma Comrade toa ya vasco dagama hakuna sheria wala kanuni inayokulazimisha kuwepo kwa hizo picha to ya vasco toa ya vasco toa ya vasco
Zinauhusiano mkubwa sana, ninategemea kuwa natumia si chini ya masaa nane ndani ya ofisi hii, kwa hiyo ni lazima nihakikishe inamazingira yote ya kunifanya nifurahie kuwa humu ndani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kuondoa vitu vyote ambavyo vinaweza kuniondolea furaha yangu.Mkwara mbuzi huo...acha utoto
Hizo picha hazihusiani na kazi...piga mzigo n make a difference...
Zinauhusiano mkubwa sana, ninategemea kuwa natumia si chini ya masaa nane ndani ya ofisi hii, kwa hiyo ni lazima nihakikishe inamazingira yote ya kunifanya nifurahie kuwa humu ndani, kwa hiyo ni sahihi kabisa kuondoa vitu vyote ambavyo vinaweza kuniondolea furaha yangu.
Kumbuka kazi sio utumwa.
Walioziweka wanajua kwamba mwinyi ndio kiongozi mbovu aliewahi kutokea africa!,Hiyo ofisi ni museum?...Uko Makumbusho ya Taifa nini jomba?
Kwanini kuwe na picha ya MkaaHapa, halafu kusiwe na ya Mwinyi?
Kama wameamua kutunza picha za marais wastahafu basi watundike za marais wote!