Nakazia hapa "Wote wawili mna akili za kitoto"Wote wawili mna akili za kitoto.
Na wewe ni kama yeye tu, wote akili hamnazo tofauti ni kwamba yeye vijembe vyake anaweka status, wewe umekuja kufungua uzi.vip tena mkuu
Hivyo unavyosema vijembe ni kwenye status zake? Move on kijana. Ni aibu kwa mtoto wa kiume kutwa kuchungulia status za wanawake. Usipoangalia status zake wala hivyo so called vijembe hutoviona na havitokuumizaSasa kituko nimembwaga manyanga lakni naona vijembe vingi huko WhatsApp sasa sijui mantiki kuu ni nini hasa
Kama kweli umemuacha serious namba yake ya whatsapp unabaki nayo kwenye simu ya nini?Asante mkuu kwa ushauri
Na uzi umeishia hapa. Kwanza anapata wapi ujasiri wa kuview status kama sio bado anampenda huyu. Futa namba endelea na mambo yako simple.Hivyo unavyosema vijembe ni kwenye status zake? Move on kijana. Ni aibu kwa mtoto wa kiume kutwa kuchungulia status za wanawake. Usipoangalia status zake wala hivyo so called vijembe hutoviona na havitokuumiza
Hata akifuta, utakuta kaikariri kichwani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Futa namba yake.
Umeniwahi, nilikuwa nawaza hivihivi!Mwanamke anajishughulisha na saloon halafu unashangaa kwa nini vijembe haviishi?
View attachment 1514105
Walau itasaidia asione status za vijembe huko whatsappHata akifuta, utakuta kaikariri kichwani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]