Nimemuacha lakini bado anakataa kuachwa nami

Nimemuacha lakini bado anakataa kuachwa nami

Ha ha ha embu share mikwara hyo nmecheka sana
 
Just muite.. nenda nae sehem iliyotulia . Mueleze yaliyo moyoni.. lakin mpe muda maana kama anakupenda huwa ni ngumu sana kwa yeye kuukubali ukweli
 
kwani ili MTU awe mpenzi hadi mcanye nini?
 
Back
Top Bottom