Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Habari wanajamii wenzangu,
Kama kichwa kinavyojieleza, kuna manzi alikuwa ananifuatilia kuanzia 5 mwaka huu kwa maana alikuwa ananitaka tuwe wapenzi, juzi kati nikawa nimemkubalia lakini sijapendezwa na tabia zake nimehisi atakuwa sio type yangu hivyo jana nikaamua kuachana nae yaani nimemtema.
Akawa amenipiga mikwara kiasi alivyoona sijatishika na mikwara yake ameamua kuniomba sasa kila ninavyombwambia haiwezekani anielewi amenitumia hadi marafiki wake waje kuniaomba.
Sijaelewa anataka nini kwasababu hata kudonyoa cha kati sijawahi nilimkubali lakini tuliishi kama marafiki sikuwahi kufanya nae chochote kama wapenzi.
Msaada plese, nifanyaje ili aelewe kuwa simuhitaji?