Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 903
Lete mrejesho umefikia wap na binti mlokole, au bado anakuweka kwenye sintofaham tena?Demu kakubali japo nimetumia formula ya kilokole
Lete mrejesho umefikia wap na binti mlokole, au bado anakuweka kwenye sintofaham tena?Demu kakubali japo nimetumia formula ya kilokole
[emoji38][emoji38][emoji38]Umeeleweka
Mzee kinachofata mshahara wako kuteketezwa uje na Uzi mwingine
'Wa "Nmekoma nmekoma'
Hance MtanashatiWakuuu naombeni mbinu nimepewa jibu ili vipi APA?
Kakubali hau kazingua hau ananichoraaa??
View attachment 2471471