Habari zenu wana jf kuna
bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most
of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae
tena
Mimi hata sijaelewa! Mnakaa nyumba moja au huwa mnatafutana ili muangaliane?!
[Nahisi harufu ya uwanafunzi wa bweni au uwanachuo hapa]...Hivi hamjafunga Easter mkawasaidie wazazi mashambani?
Habari zenu wana jf kuna bint nimemtongoz na kanikatalia pia ila hachoki kuniangalia i mean most of time i observe she is watching me even thuogh mm sina habar nae tena
Kwa hiyo mtu akikukataa haruhusiwi kukuangalia???????
Wanaume mnapenda sana visasi vya kijinga khaa!!
Inawezekana anakuangalia kwasababu anakuonea huruma jinsi unavyohangaika kujifanya huna shida nae wakati ushamtongoza, hahahahahah
Wanawake banaAnakuona jambaz jambaz labda! lkn na ww unatongoza mara moja unamuacha wenzako tunatongoza mara ishirini ishirini hicho kifaa unakamata rudia tena zoezi alafu utujulishe.
WAcha weeeeeeehnyie ni wanafunzi??? kwamba ashinde anakuangalia tu like mko class moja??? au mnakaa mtaa mmoja ukiona hivyo unajipitisha ndugu pole sana kwaio anabaki anakushangaa tu
nyie ni wanafunzi??? kwamba ashinde anakuangalia tu like mko class moja??? au mnakaa mtaa mmoja ukiona hivyo unajipitisha ndugu pole sana kwaio anabaki anakushangaa tu