Ameandika, kinachomuuma ni pesa aliyoliyomlipia.Unalia kisa mkeo??? Aisee
Huyo ni mkewe hapaswi kulia ajili yake avae uanaume amuweke sawa kulia hakusaidii pesa yake kurudi, kwani huyo Binti si anawazazi.Ameandika, kinachomuuma ni pesa aliyoliyomlipia.
Nashukulu sana kaka kwa ushauri wako mzuri.ubarikiwe sanaBro inamaana haukufanya risk calculations?, Ulikua na high expectations au ulikurupuka?. Jibu yaweza kua vyote au moja kati ya hayo.
Lakini, mtu kama umeingia ndoani lazima uwe na uwezo wa kuvumilia, tena sanaaa huyo ni mkeo si mchepuko.
Kiufupi, jipange na tengeneza mpango kazi wa kuzikabili changamoto za familia wewe kama baba na kichwa cha familia.
Mwisho, mpende mke wako kwa gharama yoyote ile, na kubali kumfundisha na kumuelekeza hadi atapokua kama wewe upendavyo.