Nimemtia mimba


huyo ni mtoto wa zinaa tu
kidini siku ile manii yakiingia na baadae kutunga mimba hapo kiumbe anaweza kuhesabiwa mtoto wa zinaa
kwa hiyo suala la kuoa hapo ni kijamii zaidi kuficha aibu ya kuzaa bila kuaoana
na kidini huyo mtoto wa zinaa akizaliwa na ikitokea ni mwanamke basi mtiaji mimba ni halali yake kumgegeda(kumuoa) huyo mtoto sababu si mtoto wake ni mtoto wa zinaa
mwe uislam kazi
ila mtoa mada hakusema yeye ni dini gani?
 
wewe acha ujinga...ukatoe posa kwa ujinga wake mwanamke kushika mimba!!! kama hukumwambia kuwa unataka kuzaa nae basi ni kosa la demu na wala huna shitaka lolote.

kweli nimeamini wewe una matatizo
kha
 
kweli nimeamini wewe una matatizo
kha

asante but wanawake ndio mnamatatizo zaidi yangu kama bado mtakuwa stupid enough kumwachia jamaa akugegede bila ndom alafu ushike mimba and expect kidume kiudumie.
 

amekuelewa mkuu
 
asante but wanawake ndio mnamatatizo zaidi yangu kama bado mtakuwa stupid enough kumwachia jamaa akugegede bila ndom alafu ushike mimba and expect kidume kiudumie.

sasa unataka mimba alee nani?aihudumie nani?
Nyie ndo mnaowafanya wadada wajawazito tumbo kubwa anaenda sinza afrikasana kujiuza
mwanaume wa ukweli lazima ajue siku hatarishi za kushika mimba na siku salama
nitakupa mfano mimi wa kwangu yeye ndo anahesabu kalenda mimi japo najua kuhesabu ila siyo mfatiliaji sababu i trust him na najua hata mimba ikiingia ni makubaliano yetu.
Na hata ikiingia najua he will be there for me.
Na hata siku za hatari tukitaka game anajua tujilinde vipi.
Take it from us mzee wa kugegeda
 
Wth is mtoto wa zinaa? Watu wamekuwa wakizaa bila ndoa since the beginning of time.


 

haya bana kama ni jukumu la mwanamke kuzuia kupata mimba.. basi wanapopata kabla ya wakati mliojipanga msilalame,wala kukimbia majukumu mkubali matokeo na kulea watoto wenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…