mtanzania07071989
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 153
- 21
Kama ni ujinga ni wa wote wawili na sio mwanamke peke yake, kwani 'alijigegeda' mwenyewe? ... Mi nafikiri kama yupo tayari kuoa, I mean kuwa uwezo wa kutunza familia amuoe tu, kama hana basi ajitambulishe kama ye ndio muhusika na atamsadia mwenzie kutunza mimba na hata mtoto atakapozaliwa, atakapopata uwezo kama mapenzi bado yapo basi wataoana.wewe acha ujinga...ukatoe posa kwa ujinga wake mwanamke kushika mimba!!! kama hukumwambia kuwa unataka kuzaa nae basi ni kosa la demu na wala huna shitaka lolote.
Kama ni ujinga ni wa wote wawili na sio mwanamke peke yake, kwani 'alijigegeda' mwenyewe? ... Mi nafikiri kama yupo tayari kuoa, I mean kuwa uwezo wa kutunza familia amuoe tu, kama hana basi ajitambulishe kama ye ndio muhusika na atamsadia mwenzie kutunza mimba na hata mtoto atakapozaliwa, atakapopata uwezo kama mapenzi bado yapo basi wataoana.
wewe acha ujinga...ukatoe posa kwa ujinga wake mwanamke kushika mimba!!! kama hukumwambia kuwa unataka kuzaa nae basi ni kosa la demu na wala huna shitaka lolote.
Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?
hebu mwambie bana ,labda kama alimchukua barabarani akijiuza kitu ambacho siamini ......ulichompendea ukamtongoza kichukue hicho 2 ,awe mkeo hivi unamweka katika nafasi gani mtoto wako!nadhani yote hayo yameshatokea na hakuna haja ya kukulaumu...
Tell u what mungu ni muhimu sana kwenye maisha yako kuliko wazazi wako na amekuona toka unamtongoza hadi ulipofikia!
Mbona humuogopi?
Be a man and accept your share of blame and responsibilities....mwanaume wa kweli huonekana pale mambo yanapokuwa magumu...
wazazi wako hawatajua... sasa inabidi na wazazi wa huyo aliyetiwa mimba wasijue hapo ndo kutakuwa na siri....Nimemtia mimba.Nataka nikatoe posa bila wazaz wangu kujua maana hawatanielewa niko chuo mwaka wa kwanza.naomba msaada nitumie mbinu gani?