Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

Nimemtia mimba mchepuko na kutoa hataki

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,926
Kama kichwa cha habari hapo juu.

Few weeks hivi nyuma nilipata kamchepuko na kwa bahati wife hakuwepo basi nikapanga kumeet nae. Siku ikafika nikapiga show mpaka kuchee.

Baada ya siku chache mchepuko unaniambia umenasa mimba yangu. Nikasema isiwe shida kwa vile sio dent ingawa anaishi home kwao na wazazi nikasema ngoja nije kuhakikisha kwanza.

Baada ya kuja nikapima kweli kitu ni positive nikawa relaxed ili asisome my emotions ili nimconvice ki siasa atoe ila daaah aisee.

Demu kakataa kata kata anasema yee hawezi kutoa katu. Ubaya anajua kama nimeoa na anapajua hadi ninapoishi

Sasa hivi ananipa vitisho lukuki maara ooh usiniambie kabisa kuhusu kutoa tusije kufikishana mbali mara nitakuja sku moja kuonana na mrs wako ajue kuna mwenzake yaan daah akili yangu imechoka.

Kweli michepuko kokoto ni balaaa hapa pozi lote limeniishia natamani hata muda urudi nyuma.

Naomba wale waliokutana na situation kama hii hemu nipeni ushauri kidogo mliukwepaje huu mkasa.
 
Kama Una Uhakika Hiyo mimba Umempa Wewe Basi Nenda Kamwambie Akupe Mimba Yako Ukae Nayo Mwenyewe. Tena Mwambie Akome Tabia Yake Ya Kung'ang'ania Kukaa Na Vitu Vya Watu Wakati wenyewe Wanavihitaji.

Yani Ni Simple Tu.
 
Mmh
 
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
 
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
 
Hili ndio la msingi.

Mwanamke ukimletea mtoto wa nje, atabwabwajaaaaa mwisho wa siku atatulia.
Kwaiyo mkuu unataka kushiriki dhambi ya kuuua kiumbe kishichokua na hatia.....??!!! Thamani ya hicho kiumbe ni zaidi ya hata kuachana na huyo mke wako. Muache ajifungue then mbele ya safari utakuja kumuelewesha huyo mke wako.
 
Ushauri mzur mkuu ,asante , kiukwel kabila la huyu mchepuko kidog linanipa ukakasi kuzaa nalo

Hivyo nimempa mimba nilikua najua last period day yake so alikua ktk safe days chakushangaza kitu kimesoma daah

Kweli kifo cha nyani
Ivi kabila gani Ni zuri na Kabila gani Ni baya?.
Tuache huu ubaguzi kumbe hata huyo unaemuita mchepuko ulikuwa unangononae moyoni unamngo'ng'a? Hiyo ni tabia mbaya ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom