Hiyo pete kubwa katoa wapi wakati Sheikh Yahya kafariki?
Urais wa kuuza unga?Ndiyo anajifunza hivyo, kidogo kidogo anasonga. Mwaka 2025 utasikia amekwishaiva na kuchaguliwa kama mgombea wa kiti cha urais.
Hiyo pete kubwa katoa wapi wakati Sheikh Yahya kafariki?
Ndiyo anajifunza hivyo, kidogo kidogo anasonga. Mwaka 2025 utasikia amekwishaiva na kuchaguliwa kama mgombea wa kiti cha urais.
Angeweza kutumia dakika zake vyema katika kujenga hoja ambayo ingeweza kulisaidia taifa na kuondoa ile dhana ya kwamba kapewa kwa kuwa mtoto wa mkubwa,
Pili unaposema kuonyesha sila ni kawaida ni sawa ila kila sherehe zinamaandalizi yake kwani tunasiku ya mashuja hivyo tungetumia siku hiyo kuonyesha hizo zana za kivita, na sio sherehe za Muungano,
daaah ushirikina unaturudisha nyuma,cheki Pete hiyo
Mkuu..nje ya mada kidogo...hivi ulikuwa unafanya utafiti gani hadi ukagundua/ukaona makohozi, kinyesi,Nimepita kariakoo leo, mtaa wa uhuru kuna libwawa likuuuuubwa la maji yenye vinyesi, makamasi, makohozi na kila aina ya uchafu. Nikasogea mbele pale jirani na Benjamin Mkapa Sekondari na yenyewe ni madimbwi na barabara mbovu kupita kawaida. Nikasogea hadi Akiba, ni hivyo hivyo. Dah! Serikali ya CCM imeamua kukomesha watanzania