Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Mpe ushauri ndo kesha kosa ivyo....BTW hujambo bibie?haya mapenzi ya kukomoa haya hatari sana...Nyangoma my dia ni aibu sana kwa mwanamke kufanya mseto kama huo...ictoshe huyo kaka mwingine umesema anakaribia kuoa, sasa uliamua tu kumvulia chupi kujifurahisha? wanawake kama nyie bwana mnatutia aibu wanawake wengine.
Mpe ushauri ndo kesha kosa ivyo....BTW hujambo bibie?
haya mapenzi ya kukomoa haya hatari sana...Nyangoma my dia ni aibu sana kwa mwanamke kufanya mseto kama huo...ictoshe huyo kaka mwingine umesema anakaribia kuoa, sasa uliamua tu kumvulia chupi kujifurahisha? wanawake kama nyie bwana mnatutia aibu wanawake wengine.
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Unajua Nyamayao, wanawake wengi siku hizi huu uchi wao wanaufanya kama asset fulani hivi!na ndio maana kunakuwa na malipizi na kukomoana kwa style hiyo!!!!!!!!!!!!!
atakuwa kwa ajili ya kukata kiu tu..
hapo wanakosea sana, mwanaume hata akikupenda kivipi lakini yakitokea mambo kama haya roho yake inakinaiwa kabisa, wachache sana watarudisha mapenzi kama kawaida, hapa nilipo bado najiuliza nyangoma alifikiria nn mpaka kufanya alichofanya, kwanza kamsaliti mpenzi wake mahali pacpo(mtu anaekaribia kuoa/wapo ofc moja)...hivi mwanamke unajua mwanaume huyu ana wake na anakaribia kuoa uckute na mchango nyangoma katoa na kampa zawadi ya kumvulia chupi free....khaaa wanawake wengine hapana kabisa.
lakini kumbuka sio wanawake wote ambao wanajua thamani ya miili yao!kuna wengine kumvulia chupi mwanaume kwa tendo tu la haraka, mara moja mbili kwake sio issue hata kidogo!yeye anaona hana cha kupoteza hapo, aibu kwako!!!!!!!!!!!!!!
Sijaelewa hapa....jamaa anaacha kazi au anakuacha wewe....:confused2::A S confused:
Labda nimuulize nyangoma swali moja alipomkomoa kwa kutembea na rafiki yake amepata nini? Saa zingine akili zinakuwa za namna gani hapo sidhani kama kuna kitu cha kufanya ili yeye asahau sababu wakati unafanya ulidhamiria tena umesema mwenyewe ulikuwa unataka "kumkomoa" halafu sasa hivi unahitaji ushauri ufanyaje ili asahau maumivu WTF!!!!!!! Vitu vingine vinaudhi sanaaa