Nimempenda shemeji yangu

Duh!kweli wabongo kwa povu mpo vizuri
Yote hayo yangu Ila nimeomba ushauri Ila sishangai ndo ushauri wa kibongo
 
Endelea kumpenda tuu mkuu..ikibidi mtie mimba kabisa!
Ili ukikua kua kdg akili ikukae sawa
 
Watu kana wewe wanastahili kufa, kuishi kwako ni hasara tu
 
Napitia pitia makabrasha kabla sijalala
 
Aisee sikushauri kaka!

Time heals !Jitahidi kutafuta wakwako japo hutampata kama Huyo shemeji yako,lakini unaweza pata zaidi au pungufu yake!

Afu muda mwingine uoga huepusha mengi!
Muogope na heshimu hisia za kaka yako!
 
Hama hapo kwa kaka yako. Ndio matokeo ya kula chakula kizuri wakati kazi huna, akili yote inawaza upoloto tu. Ondoka hapo kabla hujaondolewa kwa fedheha

Mara paaap mtoa maada ni mdogo wake funzadume
Sijui nini kingempata🙉🙉🙉
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…