zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Uvumilivu unanishindaHeshimu ndoa [emoji120]
Dah.!si ataniua wakurya tulivyo wajeuriUmesha mchaputa mara ngapi shemejio?
Ongea na kaka yako akuachie.
Mbona unatuaibisha wakuria hiviDah.!si ataniua wakurya tulivyo wajeuri
Itakua nyekundu hioNa Kama tukipendana tutaonesha picha gani kwa jamii
Dah!
No comment LTCBado kidogo utampenda mama ako sijui utamwambia baba ako akuachie