mwali Klein form 4 mwaka huu subiri uone mwakani kama ntakuwa hata na nguvu ya kumsema mtu hapa.
mweeeh si unajaua kwamba ukifeli form 4 ni mbaya sana manake huna cheti cha kutumia??
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui jina lake wala sina namba yake

Komaa naye mwaya
Hawezi kukuangusha kabisa, bora apate japo cheti
mwali nimebuni mbinu mpya kwasasa naomba Mungu hii mbinu i work out.
kinachosumbua watoto wetu ni uwezo,wao wa kuelewa vitu na kujieleza sasa niemeanza kumfundisha namna ya kujieleza na kwamba namna ya kujua mbinu za mitego kwenye maswali.
ha ha ha "acha tu dia" usitoe nitakutolea.....!!!!!!!
Mkifeli shuleni, tunasumbuka kuunda tume. Kodi zetu zinateketea, kumbe sababu zipo wazi. Soma, hata kama haupo shule jibiidishe ulipo!mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui jina lake wala sina namba yake
Unasali wapi dear??!
taja kanisa,muda 2kutane thn unioneshe nikakuchukulie namba hat ya mama yake?
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui jina lake wala sina namba yake
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa ya kutoka nikimsubiri huwaga na mama yake nahisi hawaachani, mnanishauri nifanye nini maana sijui jina lake wala sina namba yake
jaman macho hayana pazia mchumba anapatikana popote. .cha muhimu wasitongozeane kanisani.Hivi kanisani huwa mnaenda kusali au kutafuta wachumba, sikujua kama kanisani mnaweza kutongozana:biggrin: