Nimempenda kaka wa x boy wangu

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?
 
(Tusi la wastani) Mpe tu, kwanza si alishakunyonya mate? Halafu wewe ulianza na mdogo mtu, leo kaka...baba yao akikutaka usiache ktupa mrejesho..... ptuuuuuh!

Aaaah mkuu umekuja kuwaje?
 

Very Interesting ,wine has changed ure status and now you are down for shemeji? Shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…