Nimempenda huyu bi harusi

Mtoto natural huyo.. Halafu siku hzi kilimo kwanza inalazmika.

wewe mbona hujafanya??
halafu nikufanyie ile makitu sasa hivi nasikia usingizi nataka nikalale
 
ahaaaaaaa rangi ya bi harusi kagandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
yaani mimi niliyesisitiza useme ndo umeniacha solemba, sijaelewa umemaanisha nini, lol!
 
Reactions: amu
yaani mimi niliyesisitiza useme ndo umeniacha solemba, sijaelewa umemaanisha nini, lol!

aaaaaaaaaaaaaaaaa bibi harusi anauchafu kwenye kwapa bana umegandaaaaaaaaaaaaa
 
na uchafu kwenye shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…