Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
hapa sizungumzii rangi mdogo wangu, nazungumzia mapambo..... mapoudaaaaaa na mazagazaga yakeI miss my cheupe!
Mie sijapenda huo mtumbo!!!!!
ha haaa, kweli ni :mimba:, lakini mimi nazungumzia make-ups zaketeh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh hata hajanogaaaaaaaaaaa kivileeee halafu kama vile ana:mimba::mimba:
hapa sizungumzii rangi mdogo wangu, nazungumzia mapambo..... mapoudaaaaaa na mazagazaga yake
Mie sijapenda huo mtumbo!!!!!
ha haaa, kweli ni :mimba:, lakini mimi nazungumzia make-ups zake
mdogo wangu amu, siku hizi si mnasema kuolewa mpaka mtestiane kama mnaweza kuongeza dunia?
Nimempenda sana huyu bibi harusi jamani,
kapendeza sana, so natural
Kanikumbusha sana siku ya harusi yangu..... niligombana sana na mpambaji na mapoda yake....
kila akinipaka namwambia punguza, baadaye matron wangu (sababu alikuwa ananifahamu sana) akaniambia nisigombane naye, tutafanya maarifa kwenye gari.......
basi tulijifutaje sasa humo ndani ya gariiiiii, mpaka tunafika church tumependezaaaaaaa!
Big up Bibi harusi wewe......., anayemfahamu anifikishie hongera zangu..
sidhani kama hakupaka mapouda sababu ya :mimba:make up yenyewe too much simple ujue hata mie sipendi makeups napaka simple bt huyo mtu wako mhhhhh kazidi labda ilikuwa haikai sababu ya :mimba::mimba: si unajua wengine nyuso zinakuwa zinatiririka jasho so angepaka ingekuwa siyo maana angekuwa na rangi 14 usoni
kuhusu kuolewa na hii:mimba: aaaaaa ni ujinga wao haoooooooooooo mie haunihusu i dont entertain kupanua miguuu mpaka hii :mimba: inanigia
make up yenyewe too much simple ujue hata mie sipendi makeups napaka simple bt huyo mtu wako mhhhhh kazidi labda ilikuwa haikai sababu ya :mimba::mimba: si unajua wengine nyuso zinakuwa zinatiririka jasho so angepaka ingekuwa siyo maana angekuwa na rangi 14 usoni
kuhusu kuolewa na hii:mimba: aaaaaa ni ujinga wao haoooooooooooo mie haunihusu i dont entertain kupanua miguuu mpaka hii :mimba: inanigia
amependeza sana yaaniPregoooo ila wamependeza
naogopa kusema nitaambiwa mbaguzisidhani kama hakupaka mapouda sababu ya :mimba:
mbona kuna wengi tu wanaolewa na :mimba: na mapouda wanapaka?
nadhani huyu kapendezewa tu kutokea kihivyo.....
ila kiukweli kabisa kapendeza sana, according to me