Nimempa shemeji yangu Mimba

Unahangaika nini?
Umesema ulimpenda tangu siku nyingi.
Sasa matunda ya upendo si hayo?
 
Mwaka mpya na mambo mapya...
 
Sioni cha ajabu hapo, mlitiana mkijua kbs matokeo yake huwa ni nini
 
ndio umrudie mfuga kuku
 
Unaitwa nan vile tena..........?
 
Safi sana nashauri mjengee nyumba mbali na hapo ulipo akuzalie chema.
 
Nenda kajitambulishe kwa wazazi wake ambo ndiyo waliokuozesha mdogo wake
 
Kama kuna jambo familia huwa zinakosea ni kukaribisha ma shemeji kuishi nao, wengi wameishia kutembea nao, pole sana
 
Fanya jambo hapo nunua MTU awe anae kama mpenzi then mwisho wa siku itaonekana mimba ni ya jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…