Nimempa shemeji yangu Mimba

Mimi ushauri ninaoweza mpa ni kuwa ili kuokoa ndoa yake anipe namba ya mke wake niongee naye kumshauri kuwa hilo suala si kubwa sana na a take easy.asi complicate.then ndoa yake haitavunjika najua nitakapoonana na mkewe nitaongea naye nini ili mambo haya yaishe kwa aman na upendo

GuDume mtu wa ma adventure ya ajabuajabu unahusika kutoa ushauri hapa.
 
Hahaha eti umechanganyikiwa zile ndani nje ndani nje mpaka jamaa anatapika ulitegemea nini
 
we fala nini mdogo wa mke wako hujui mkeo huyoo? tombaa tu TEHEENA MBURII HAOO, GERA DUU?!
 
Kwa ulilolifanya nakushauri either utafute kamba ujinyonge hadi ufe au meza vidonge vitano vya fragile kwa kutumia pombe kali!! Huo ndo ushauri wangu.

Hamna adabu nyie watu!!!
 
Tena wewe unayeona kichefuchefu unaweza mvulia chupi mumeo na baba yake na watoto wote wa kiume wadogo wa mumeo. Usijifanye msafi sanaaa. Katika mapenzi hakuna mjanja bwana labda uwe hanisi.
 
NENDA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI, UTAKAE MKUTA HAPO PIGA MAKOFI NA MITAMA YA NGUVU..... BAADA YA KAMA DAKIKA 5 HIYO MIMBA YAKO KWA SHEMEJI YAKO ITATOKA... AND PROBLEM SOLVED
 
Vuna ulichopanda. Oa awe mke wa pili.
 
Tena wewe unayeona kichefuchefu unaweza mvulia chupi mumeo na baba yake na watoto wote wa kiume wadogo wa mumeo. Usijifanye msafi sanaaa. Katika mapenzi hakuna mjanja bwana labda uwe hanisi.

Aiseeeee
Itakuwa kwenu ndio mila yenu.

Umejaa upupwu mtupu
 
Kijana mpeleke na yeye akajifungue kwao halafu uendelee na mkeo,akishajifungua umtie mkeo nyingine aende akajifungue kwa o halafu uendelee na shemeji.Kama Yakobo vile
 
Wewe huchelewi kujipendelea na kutaifisha mke wa watu.

Sikuamini.
 
SASA UNAKULA KAVU UNATAKA MIMBA ISIINGIE....WE KAMA VIPI KAANDIKE FACEBOOK KUWA NI BABA MTARAJIWA KWA DADA YAKE WIFE WAKO
 
KABISA
 
Kwani zile story za kujikojolea na kupandisha mashetani zilishindwa? Maana ilikuwa amazing sana. Mbinu zako za kujikojolea na kukauka na Dada mtu kukimbia Nje ziligonga mwamba?
Una kumbukumbu kama mjusi [emoji3][emoji3]
 
Umejuaje kama ni wewe uliyemtia mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…