Nimempa shemeji yangu Mimba

We jamaa stori yako haijakaa sawa !!! Next time ukitaka kufanya hivyo usiogope kuniomba msaada niwe "Director" wako
 
Mkuu acha maisha yaendelee nature will decide for your mistake...!

Vinginevyo utaharibu utaratibu wote...
 
Sawa,ila kasome mwanzo utaona ilivyo kuwa vita vya Rahel na Lea kwa mumewao Yakobo.
 
Kwani zile story za kujikojolea na kupandisha mashetani zilishindwa? Maana ilikuwa amazing sana. Mbinu zako za kujikojolea na kukauka na Dada mtu kukimbia Nje ziligonga mwamba?
Iligonga mwamba mkuu. Aliniambia twende kwenye maombi, ili nisiwe napatwa na matatizo kama hayo. Nilimwambia tusubiri tuone kama hali hiyo itarudia
 
Unatenda dhambi ya zinaa alafu unakuja kutushirikisha.

Kapamabane na mkono wa Mungu maana hujutii dhambi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…