Nimempa shemeji yangu Mimba

Nimempa shemeji yangu Mimba

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
689
Reaction score
1,126
Habarini wadau
Niliongelea kuwa nimejikuta kwenye mahusiano na dada ake na mke wangu baada ya mke kwenda kujifungua nyumbani kwetu. Mazingira niliyobaki nayo na uhalisia yalinifanya nianzishe mahusiano na shemeji yangu ambaye nilimtamani tangu zamani.

Baada ya kutafuta namna ya kuachana nae baada ya kuwa addicted kwake, nilishindwa kumpiga chini. Niliona nende nae taratibu, ila kuna mazingira ambayo nilianza kuyaweka ili niwe nae mbali. Nilitaka niombe likizo nisafiri, ili wiki ijayo anapokuja mke wangu asinikute nae.
Nimefanya mchakato wa kuanza likzo baada ya mwaka mpya nimekubaliwa na mkuu. Jana jioni wakati nataka nipige mashine ananipa habari za kutokuona siku zake. Leo asb nimetoka kununua pegnancy test, majibu ni positive. Na amefurahi anadai hatoi. Nimemuuliza unataka familia yangu ife? Ameniambia hayamuhusu, yeye anachojua amepata alichohitaji.

Nimechanganyikiwa, Nasubiri akili itulie nifanye maamuzi
 
Yeye ndo anataka familia Ife au wewe?

Wanaume mnaoongozwa na kichwa cha chini ni wajinga sana, pumbavu kabisa!

Haya jiandae August mwisho mwisho mwakani utapata ulichopanda, SHAHAWA hua haziongopi, ni kama kioo tu!
 
Wrong doing is due to diseased knowledge, una ugonjwa kwenye uelewa!

Ukicheza unaweza kufanya maamuzi ambayo sio kabisa! Take care!
 
Umenichekesha sana Mkuu,lakn hata hivyo inavyoelekea utakuwa ni m2 mwenye fedha au mafanikio makubwa sana cuz wanawake wa leo hawez kuzaa na ww kama huna fedha!
"Kuwa na fedha" inategemea analinganishwa na nani. Yawezekana jamaa ni muuza mkaa, shemeji ni mchoma vitumbua. Hapa jamaa ataonekana ana hela kuliko shemejiye.

Au yawezekana jamaa ana ka kazi ka kuajiriwa analipwa laki 4 kwa mwezi, shemeji mama wa nyumbani tu.

Kimsingi, mapenzi yanaweza kusababishwa na mazingira tu. Pesa siyo chanzo pekee cha penzi kustawi.
 
Naona unaipa nyama nyimbo flani hivi ya singeli...

Hongera baba mtarajiwa
 
Back
Top Bottom