Nimempa mimba mke wa mtu

we mwandishi una kadi ya milembe kama mm?? maana sijakusoma uandishi wako huuu
 
Acha matusi kaka. Halafu c kila post mtu anayotuma huwa n yake kweli, mwingne husimuliwa na rafk ake na kuamua kushirikisha watu kutafuta utatuzi.
Mfano, mie cjawahi weka post ya maisha yangu, huwa n experience wanazopitia best zangu.
Kuwa mpole.
Basi samahani dada yangu,lakini kumbuka mtu anatembea na mke wa mtu,je ni haki hiyo?
 
Sasa ww ulitaka umpe mimba mke wa mbwa?
 
Nyumba kabisa, amuambie huyo demu akamsingizie mumewe yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…