uko sahihi sana kiongoz lakin mimi huyu dada alisema hajaolewaKitu nisichopenda in mke wangu kuwa na urafiki na jinsia ya kiume, wanawake no wepesi sana kuragaika, nwanaume unapwasa kuwa jasiri sana na kumkemea mke wako akikuletea habari eti huyu in rafiki yangu, hii inasaidia ikitokea kacheat basi kubali matokeo
Panda ndege uwahi kufika mkuu manake Jàmaa nahisi kesho kutwa anatia timu mjengoni alafu majirani kama nawaona vile walivyojiandaa kutupia maubuyu akyanani umeishaKweli mkuu sasa nipande bus gan mkuu
Poa mkuu kwahiyo utanipokea halale au bulawayoPanda ndege uwahi kufika mkuu manake Jàmaa nahisi kesho kutwa anatia timu mjengoni alafu majirani kama nawaona vile walivyojiandaa kutupia maubuyu akyanani umeisha
Wahi alaka ndege ya kesho asubuhi
Kye kye kye nacheka kiingereza
HahahahahMme wake ni mmoja wa wale wanajeshi wetu wanaolinda na kuangalia usalama kule Congo.
Nasikia wanarudi hivi karibuni.
usingekuwa na watoto 7 na wanawake tofauti ungekuwa na gari.Mbona mimi mwenyewe sina gar then nimunulie gar mtu