Nikaamua nitafute mtego ili kuwe na kibuti ambacho hata yeye ataona sijamsingizia.
Nikaunda account fb kwa jina la jamaa na kujifanya Kama jamaa ,halafu nikamwadd kwa kutaanguliza Salam na kumwelezea kwamba ile account nimesahau password tuchat kwenye hii mpya . Wala hakujibu,gafla nikaddiwa kwa account nyingine yenye mrembo picha na jina tofuati ,akaniambia mi ndo flani ile account jamaa yangu anaweza kusoma msg tuwe huru huku. Kwa siku mbili nikiwa nimerudi kwenye mishe basi nikiingia chumbani yeye anabaki sebuleni kwamba anaangalia movie kumbe anachat na Mimi ,kifupi jamaa anamgonga sana , nimemwomba hadi picha za utupu katuma akidhani ni jamaa.Nimempanga tukutane chimbo kesho anipe utamu.Bila shaka nitatangulia lodge nione huyu mbuzi akijitokeza nampa kibuti bila kumsemesha