Nimempa kibuti rasmi

Mkuu mapenzi ni kufanya kama kitu cha ziada ,ile ya kupenda imepitwa na wakati maana hawa viumbe hawaeleweki
 
Unapoteza muda na malaya. Shauri yako.
 
Bora umejua hilo.


Alafu ukiwa hivo, yaan wenyewe watamiminikaaa


Mimi nakuambia, Jipe thamani tuu. Utawaona .


Utasikia wanakuambia """ Weee huyo Jinsi ulivyoo hivo, utakosa mwanamke kweli"""".
Ni kweli, Mkuu!
Ukionyesha tu kuwajali na kuwathamini wanakutesa sana unaweza fikia kukumbuka hata jina nduguyo hayati la utotoni.

Walinitesa sana hawa viumbe kabla sijafahamu kuitumia AKILI ile ya 1PETRO 3:7

Dawa ni kuwatongoza wengi kadri uwezavyo ili usiwe na mmoja anayejijua kwamba yuko mwenyewe, Maana akijua yuko peke anaanza kuleta nyoko nyoko.

Nawatongoza tu wakikubali nawapotezea, Navunga halafu baadaye utasikia we kaka mbona hukurudi? mbona hunipigii simu siku hizi?
 
Mwanamke akiona you don't care ndo anakuganda ila ukilia lia atakulelekesha sana
 
Pole sana mkuu
, daah! Mliopata wanaowapenda kwa dhati hongereni sana.
 
Ukipenda huoni mkuu, shida kupenda kaka
 
Mwanamke akiona you don't care ndo anakuganda ila ukilia lia atakulelekesha sana
Sio kwamba usipo mpa care na kuonesha kumpenda ndiyo atakukimbia, maana kumbuka inbox na kitaa Wana kibao Wana msalandia!?
 
Umeipiga kimajati sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…