masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,385
- 19,309
Both Pineapples and Sausages?
Thanks In Advance.
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
Kiasi flan naungana na Arovera,kuna watu wanatutendea vibaya.kibaya zaidi sheria ziko hafifu sana na mambo ya mahusiano. Hata mim ningegfanya hivyo hivyo tena ningeanza na mamake.
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
Mwisho ni risasi na story inaisha hvo
Hizo hizo farmers choice but not the long thin type precooked ones, no. Hizi ni nene fupi. Sio hizi Vienna zimejaa mtaani.farmers choice kwa sausages ni nzuri kama ulikula mbaya basi hazikua zimegandishwa kama muda unyoeleza
au sausage za aina gani unaongelea mamii
vyote uchumi utapata,kama vipi nyoosha tu kko,vp leo church umeenda?
Jana nimetafuta canned pineapples pale Shoprite Mlimani City nimekosa.
Sijui Uchumi nitapata?
Natamani kweli.
Na sausages flani hivi za Kenya ambazo sio Vienna.
Ukizipata uchumi nishtue
inaonekana ulikuwa na hasira ya kulipa kisasi,hukutatua linda kabisa?
Ehhh?
Kibamia ni wapi ama ni nani?
Wote watatu wamefumuliwa na linda haahaahaaahaaaha