Nimemkumbuka

Haifunguki [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Is he alive? Napenda sana hi song
Wacha tu, inanikumbusha feelings flani nilikuwa nazo kwa class mate lakini sikujua kama nilikuwa ninampenda. Nilipenda kumuona tu.
 
Yule alokufanya utupe mihogo yako? Au sijui nimechanganya
Angalau wa mihogo nilijua ninampenda, huyu mr Angelina nilikuwa ninaona raha kumuona, shule ikifungwa ninaumia, sikujua kama yalikuwa mapenzi.
 
Angalau wa mihogo nilijua ninampenda, huyu mr Angelina nilikuwa ninaona raha kumuona, shule ikifungwa ninaumia, sikujua kama yalikuwa mapenzi.
ID yangu ukiiona nini kinakutokea? nisije nikachelewa namimi[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…