Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
Kwa kweli kuna matukio mawili ambayo yamenifanya kumkumbuka sana huyu role model wangu...
1. Kupanda kwa bei ya sukari - Hakika kama Slaa angelikuwapo serikali ingelikuwa imeshachukua hatua za haraka kuzuia maandamano ambayo yangekuwa non stop nchi nzima kuishinikiza serikali kujiuzuru kwa kushindwa kudhibiti hali ya upandaji wa sukari kiholela. Ona sasa waliobaki huko chamani hawajui cha kufanya, sukari tunanua 3500.
2. Kutoonesha bunge live - hakika Slaa angekuwepo chamani a.ka.chama la wanaserikali ingelikuwa imekwisalimu amri kwa mikutano ambayo Slaa angelikuwa ameshaiitisha. Ni jambo lililo wazi wanachi wengi sana mtaani wanalani kitendo cha kunyimwa haki ya kuliona bunge live tatizo wamekosa mhamasishaji ili wachukue hatua.