Nimemkumbuka Hawa sijui kwanini

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa


Huyu mdada kanijia ghafla with full force. Wakati huo kijana mdogo teeneger sina mbele wala nyuma. Alikuwa kapangiwa nyumba selfu na bosi flan wa TRA kama nyumba ndogo laini polisi Usariver. Alinizidi umri najua sasa hivi ni mama mzima.

Alinipenda sana kichochoroni nilikuwa nakula denda vibaya sana licha ya mimi kuwa choka mbaya enzi hizo.

Mwilini hasa mikononi na mguuni alikuwa na nywele nywele ndogo ndogo dah Hawa.

Nimemkumbuka ghafla tu. Ngoja nianze kumsearch. Tatizo jina nalojua ni hawa tu

This world is very dangerous
 
Hawa namjua sana, siku hizi anajiita Eva. hahahahahaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ