N Nguto JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,668 Reaction score 1,797 Sep 3, 2019 #81 Michaelmakene said: .....kaisha ondoka kwaachia chama chenu na mabadiliko wenu mbona bado mnaweweseka! Tulie dawa iwaingie nyie wazungusha mikono na viuno...siasa ni sayansi sio kutanguliza makengeza mbele Click to expand... Ha ha ha!!!! Unadhani mi mwanasisa!!!!
Michaelmakene said: .....kaisha ondoka kwaachia chama chenu na mabadiliko wenu mbona bado mnaweweseka! Tulie dawa iwaingie nyie wazungusha mikono na viuno...siasa ni sayansi sio kutanguliza makengeza mbele Click to expand... Ha ha ha!!!! Unadhani mi mwanasisa!!!!
kt the irreplaceable JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 2,387 Reaction score 4,932 Mar 3, 2020 Thread starter #82 Dr mashinji huyoo kaenda kwenye malisho mema Sent using Jamii Forums mobile app
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,474 Reaction score 45,048 Mar 3, 2020 #83 kt the irreplaceable said: Dr mashinji huyoo kaenda kwenye malisho mema Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kazi kubwa sana kutafuta demokrasia ya kweli kwa kutumia vijana wenye njaa mbili kali .yaani ile ya tumboni na ile ya utosini. Tunamtakia safari njema!!
kt the irreplaceable said: Dr mashinji huyoo kaenda kwenye malisho mema Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kazi kubwa sana kutafuta demokrasia ya kweli kwa kutumia vijana wenye njaa mbili kali .yaani ile ya tumboni na ile ya utosini. Tunamtakia safari njema!!