Mlipokutana, ulikua bikra? Kama hapana, wewe hukumuacha aliyekubkiri? Na je, na huyo wa kwanza angekufanya haya uliomfanyia mwenzeko? Wewe angaika tu, sasa umefaidi nini? Tukikuita wewe ni mama mkwe wa shetani itakua tusi? Tukikuambia kua umekalia misumari itakua mbaya? Unakumbuka onyo alilowapa Kova? Umesikia mauaji ya wanawake dar? We binti tulia jiupushe kufuatlia maisha ya mtu ambae huna hati miliki kwake! Huyo ndugu ameaona mbali kukuacha na utaendelea kuchezewa mwanzo mwisho kwa tabia zako!