nimemit na my x b/friend

Status
Not open for further replies.
d umeshakuwa mke wa mtu ya nini uhatarishe ndoa yako. je wewe mumeo angekucheat na ex wake ungejisikiaje? huyo hana lolote atatembea na wewe then atakuacha
 
Haina haja kuonana nae na hata mawasiliano yakate kabisa....! kama una mpango wa kugegedwa, endelea....!
 
Wewe hujatulia kabisa!!!Unakubali kushikwa mkono na ex wako?what the hell?Unataka kuniambia huoni ishara zote kama anakutaka?Hujui kama wewe mke wa mtu?Unafurahia attention unayopewa ehhh,ngoja ikutokee puani!!Natamani nikunase vibao akili zako zikae sawa maana naona zimekuvurugika...
Kata mawasiliano yoteeee na huyo ex na umuondoke kabisa akilini mwako !!!
 
Mume wangu nampenda na huyo kijana nlikuwa nampenda cz alikuwa mate wangu.
Umri wako unaonesha kiasi gani ambavyo hujapevuka kiakili!!Sidhani hata kama unaelewa mapenzi ni nini?Umekimbilia ndoa kabla wakati wake ulikuwa hujamaliza kuonjaonja!!
 
Yaani hata kama sio this time huyu jamaa lazima atakukaaazzza tu maana ushakubali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…