Nimemiss PM

ila na mimi nina hamu ya kutumiwa pm tena na ke,coz aliyekuwa anani-pm kapotea sijui aliendaga wap yule mrembo jamani.inaniuma

taamu kwani umejibadili? Kahamia kwangu huyu
 
Mkuu Amavubi nitakupandia huko juu mzď!! mie ME bwana,kama kweli kahamia kwako daa itaniuma sn sn.
Tulifika stage nzuri kweli yani.
 
Mkuu Amavubi nitakupandia huko juu mzď!! mie ME bwana,kama kweli kahamia kwako daa itaniuma sn sn.
Tulifika stage nzuri kweli yani.
ujanja kupata endelee kubaki hapo stejini
 
This forum requires that you wait 60 seconds between sending private messages. Please try again in 1 seconds.

cc Amavubi... addictive wa PM lazima mkumbane na ujumbe huu hasa mnapochat na watu zaidi ya kumi kwa mara moja...

JF sio facebook ati!... Invisible kama kuna uwezekano wa kuondoa hako kajanga, kaondoeni bhana!...
 
Last edited by a moderator:
Me nimemiss PM za nanihii...sijui ndo mnuno Wallahi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…