SIKU NYINGI SANA SIJATUMIWA UJUMBE WA FARAGHA (PM)
tafadhali upatapo mada hii NI-PM
sijaona pm
kwani uko wapi? huenda iko njiani
keme nimeipenda
Wewe ni ke au me au keme?
nimekuona aisee, angalia majengo marefu ni target ya ALKAIDA
fanya basi kama nilivyo ku private message mtoto mzuri!:A S 11:Ha ha ha ha Mimi naona huyu keme