Nimemhusudu huyu mtoto

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,261
Ukifuatilia tv kuna tangazo moja la kondom. Jamaa kaenda umasaini kuposa. Sharti ikawa ajue kuruka kimasai. Mara ya tatu kuruka akadondosha kondom. Sasa pale binti anapomcheki jamaa kwa nishai. Anavyobenua midomo na anavyomcheki jamaa napatwa na wivu kiukweli. Utadhani si tangazo! Mwambieni binti, anajua
 
Kaaazi kweli kweli....
Nimekimbia haraka mpaka nikajikwaa nikidhani labda njemba ingine imemzimikia dearest na kuzidi kuharibu mahesabu kumbe ni yule wa tangazo,pheeew!
 
Tena huwa natamani pale anapoangalia parefushwe kidogo nimtathmini
 
Tena huwa natamani pale anapoangalia parefushwe kidogo nimtathmini
Mkuu tafuta mtu anaefanya kazi PSI au anaemfahamu mtu wa hivyo upate data za huyu sister huwezi juwa labda mambo yanaweza kuwa mazuri.
 
Mkuu tafuta mtu anaefanya kazi PSI au anaemfahamu mtu wa hivyo upate data za huyu sister huwezi juwa labda mambo yanaweza kuwa mazuri.

mh! Yawezekana. Ngoja nitafanya ufukunyuzi
 
Nimekimbia haraka mpaka nikajikwaa nikidhani labda njemba ingine imemzimikia dearest na kuzidi kuharibu mahesabu kumbe ni yule wa tangazo,pheeew!

Hahaaha dearest siku hizi ni kimya kimya ila nawatolea nje...sitaki uumie!
 
nitakupa namba yake.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…