kumharibia mwenzako ni kitu cha maana cha kuzungumza? je wewe ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje?au unafikiri wewe ndiyo mtu mzuri sana unayeweza kumfurahisha huyo msichana? upuuzi tu? jipime kwenye mizani yako mwenyewe maana kwenye mizani yangu umepwaya sanaaaa ...utoto au rubbish? watu hujisifia mambo ya maana siyo hayo??????
MLa huliwa na wewe ngoja zamu yako
We jamaa iaelekea domo zege kweli,yani unamponda msela kwa demu wake waachane ili ww umchukue? ndoroooobo ww hata ukiachana na huyo demu usitegemee kwamba uhusiano wako na msela utakuwa kama awali.
Kwani wewe umejipangaje
mi nataka nimuoe
Unaandika lakini?
Basi sawa muoe na wewe uolewe, two way traffic!!
Rafiki ni zaidi ya ndugu mm huwa sidhubutu kugombana na marafiki zangu kisa mwanamke so stupid kwa kweli bora ungelshauri achane nae tu sio kumchukua ww umeshapandikiza uwadui
halafu hii mi JF mingine sijui imetoka wapi ?
talking stupidity forcing us to know that you are STUPID !
khaa.
Inamaana nawe ulikosa kabisa wa kwako mpaka uanze kutamani wa rafiki yako? kama ulitambua urafiki wenu ni muhimu why uanze kumtongoza demu wa rafiki yako. Nakushauri acha hiyo tabia coz next time unaweza ingia pasipoingilika yakakukuta makubwa.
Kama dem analipa achana na urafiki ww kua na tt la ukwehe