Nimemfumania mke wa rafiki yangu akisagana na mfanyakazi mwenzie

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,185
Reaction score
12,332
Dunia ina mambo

Huyu rafiki yangu ndio alikua senior manager hapa kazini lakini ni kada mtiifu wa chama mbogamboga, Mwaka juzi alipata kijinafasi wizarani yuko huko hadi leo. Lakini kipindi yupo pale kazini alikua amemchomeka binti fulani ambae miaka kadhaa ya nyuma walioana, hadi muda jamaa anapata shavu wizarani walikua wameshaoana.

Hii couple kiukweli ilitusumbua sana sababu binti ni hana mazoea kabisa na dume lolote lile, miaka 8 nimefanya nae kazi hapo lakini sijawahi kumuona ana mazoea na dume lolote lile kasoro mme wake tu. Nikawa namsifia sana jamaa hapa aliopoa, mwanamke mwenyewe ndo alikua katokea china kusoma, ni zile pisi za kishua za kichaga ila zimekulia na kusomea dae.

Sasa bwana kuna kadem kameingia kazini mwaka jana, wakawa na ukaribu wa kutisha. Mara ya kwanza niliwakuta wanapigana kiss kwenye gari ya huyo mke wa jamaa yangu.

Lakini siku ya boxing day trh 26 nilipita kwa jamaa kumsalimia tu sababu kuna mchongo fulan nlikua nina miadi nae ila akawa hapokei simu, ile nimefika nimegonga sana hapafunguliwi, nikaslide gate nikaingia, kwa kuwa tumezoeana sana zi nikapitiliza mpaka sebleni ili nikae, bwashee nlichokikuta pale seblen ni hatari. Ninavyoongea hadi sasa huyo mke wake hajawahi kutokea kazini hadi leo, kale kabinti nako kalikaa wiki 2 hakajaja ila kakarudi.

Hapa najiuliza sana sijui nifanyeje, na jamaa yangu kuna mchongo nlimuomba anifanyie ila naogopa labda mke wake atakua amemdanganya mambo ili asinisikilize jumla maana wanawake wengi hufanya hivo kuwa protective in case nikija kutoa siri
 
Copy and pest alafu wewe chai haijachemka rafiki ako kao unagonga afungui unaamia kuingia ndani how it comes ulichokitafuta ulikiona
 
Hapa najiuliza sana sijui nifanyeje, na jamaa yangu kuna mchongo nlimuomba anifanyie ila naogopa labda mke wake atakua amemdanganya mambo ili asinisikilize jumla maana wanawake wengi hufanya hivo kuwa protective in case nikija kutoa siri
Wamekuona mshamba yaan umewaangalia ukageuza we famba nini si ungepiga 3 bila au na wewe mboga yao?
 
Dunia ina mambo

Huyu rafiki yangu ndio alikua senior manager hapa kazini lakini ni kada mtiifu wa chama mbogamboga, Mwaka juzi alipata kijinafasi wizarani yuko huko hadi leo. Lakini kipindi yupo pale kazini alikua amemchomeka binti fulani ambae miaka kadhaa ya nyuma walioana, hadi muda jamaa anapata shavu wizarani walikua wameshaoana.

Hii couple kiukweli ilitusumbua sana sababu binti ni hana mazoea kabisa na dume lolote lile, miaka 8 nimefanya nae kazi hapo lakini sijawahi kumuona ana mazoea na dume lolote lile kasoro mme wake tu. Nikawa namsifia sana jamaa hapa aliopoa, mwanamke mwenyewe ndo alikua katokea china kusoma, ni zile pisi za kishua za kichaga ila zimekulia na kusomea dae.

Sasa bwana kuna kadem kameingia kazini mwaka jana, wakawa na ukaribu wa kutisha. Mara ya kwanza niliwakuta wanapigana kiss kwenye gari ya huyo mke wa jamaa yangu.

Lakini siku ya boxing day trh 26 nilipita kwa jamaa kumsalimia tu sababu kuna mchongo fulan nlikua nina miadi nae ila akawa hapokei simu, ile nimefika nimegonga sana hapafunguliwi, nikaslide gate nikaingia, kwa kuwa tumezoeana sana zi nikapitiliza mpaka sebleni ili nikae, bwashee nlichokikuta pale seblen ni hatari. Ninavyoongea hadi sasa huyo mke wake hajawahi kutokea kazini hadi leo, kale kabinti nako kalikaa wiki 2 hakajaja ila kakarudi.

Hapa najiuliza sana sijui nifanyeje, na jamaa yangu kuna mchongo nlimuomba anifanyie ila naogopa labda mke wake atakua amemdanganya mambo ili asinisikilize jumla maana wanawake wengi hufanya hivo kuwa protective in case nikija kutoa siri
Kusagana hakuna madhara ya kupeana uja uzito, infwakti wanafundishana kukata viuno, kwa hiyo siyo fumanizi.
 
c6b4a24ce95418aef39df9d33b5c533c.jpg
 
Nina hakika walitumia Kenwood.. Hii mashine kwa kusaga ndio yenyewe
big-blender-vema-with-5-litres-stainless-steel-jug-two-speeds-switch.jpg
 
Hapa najiuliza sana sijui nifanyeje, na jamaa yangu kuna mchongo nlimuomba anifanyie ila naogopa labda mke wake atakua amemdanganya mambo ili asinisikilize jumla maana wanawake wengi hufanya hivo kuwa protective in case nikija kutoa siri
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.

Mcheki jamaa yako na endelea nae na mishe zenu, mambo yao waachie wenyewe.

Be a Man, Stay Taliban.
 
Back
Top Bottom