Nimemfuma Mpenzi wangu.

haya wee myukrein unetungua ndege ya chuma ya nini? Bora ungetungua kwale au jorowe watu wakala.

Hakuna nyeti kuliko nyeti hizo, na ukitaka kujua ni mbali tizama kiuno kinavyohangaikia kufukua

ahh.! Help heelllp heeelllppp...!
 
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.

hahahaha next time utulize kichwa hata ukifumwa unadokoa nyama utabandikwa notsi bodi kama kawa kongosho afumaniwa live habari kamili ndani lol
 
pambafffffffff, nilidhani umekuta anapigwa paipu.

Daah.ya though is like mine.mi nikataka nikuambie kama anapgwa pump usimtoe mpaka n wewe upge kwanza then umfumue makof mazur tu ya usoni avmbw.but not like that,anakupenda analinda uhusiano wenu.remember ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
 
Akili za hawa vijana zimeharibiwa na viroba na BRN,ndiyo maana hawawezi kuwa na reasoning hata kwenye mambo mepesi kama haya.
 
unasound very local,, too looocallll,, kama umeigiza ku sound hvi basi we ni talanta.

hyu akikaa bar apewe local bear naamin hata muonekana wake upo kilocal pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…