RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,733 Reaction score 11,466 Sep 16, 2016 #1 Wakuu nimemuombea mtu second selection na nimemaliza.Lakini nikijaribu Ku log in huu ujumbe hapa chini bado unarudi nashindwa kuelewa sababu nini?.
Wakuu nimemuombea mtu second selection na nimemaliza.Lakini nikijaribu Ku log in huu ujumbe hapa chini bado unarudi nashindwa kuelewa sababu nini?.
Micky55 Member Joined Sep 2, 2016 Posts 69 Reaction score 50 Sep 16, 2016 #2 Huo upo kwa watu wote wa second selection ucwaze kuhusu hilo halina effect
mafrey Senior Member Joined Nov 26, 2015 Posts 107 Reaction score 11 Sep 16, 2016 #3 Micky55 said: Huo upo kwa watu wote wa second selection ucwaze kuhusu hilo halina effect Click to expand... Kwahyo hapo ina maanisha nn?
Micky55 said: Huo upo kwa watu wote wa second selection ucwaze kuhusu hilo halina effect Click to expand... Kwahyo hapo ina maanisha nn?
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 957 Reaction score 380 Sep 16, 2016 #4 Mpaka tarehe 23 ndio ita activate
R100 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 337 Reaction score 81 Sep 16, 2016 #5 Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea
Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea
Senator_4994 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 234 Reaction score 402 Sep 17, 2016 #6 R100 said: Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea Click to expand... ukitaka kuona competition utakufa kwa presha wew jaza tu af mute subil round ya #3
R100 said: Mbona kwenye profile zetu za TCU kwa sisi ambao tunafanya second selection haionyeshi competition ilivyo kwa walio apply first priority na kuendelea Click to expand... ukitaka kuona competition utakufa kwa presha wew jaza tu af mute subil round ya #3