Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Usimuonee wivu mkeo wakati pesa huna.kwa macho Yang mawili bila miwani nimemshuudia mke Wangu akitoka guest house.kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze