Nimemeza dawa ya malaria juzi bia leo vip?

Shoga we kapige tu mie nakunywaga baada ya masaa matatu nakunywa castle lager baridiii
 
Ndani ya masaa nane ni hatari mno kunywa pombe unaweza hata kuripoti akhera, Ndani ya siku 3 hiyo dawa itakuwa imemaliza kazi na hakuna shida kunywa bia, ila inashauriwa kupumzika wiki moja ili mwili upate nguvu.
 
Back
Top Bottom